You are currently viewing our boards as a guest which limits to several features of this site. You may have to REGISTER naoh before you can make a post. By joining our community, you will be able to post comments, communicate in private naoh with other members, download attachments and start your own discussion. Registration is FREE, simple and fast! So please, join our community today!
Posts : 118
Msajili wa vyama vya siasa nchini, naoh John Tendwa, leo hii amefuta rasmi usajili wa muda wa Chama Cha Jamii (CCJ) baada ya viongozi wa chama hicho kushindwa kutimiza masharti ya usajili na wengine kuhamia CHADEMA. Inasemekana kuwa baadhi ya wasanii kwenye chama hicho kilichokufa sasa wako kwenye jitihada za kuanzisha chama kipya - Chama Cha Kijamii (CCK). Kazi ipo
Join Date : 14th June 2010
Buriani CCJ...
Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa, leo hii amefuta rasmi usajili wa muda wa Chama Cha Jamii (CCJ) baada ya viongozi wa chama hicho kushindwa kutimiza masharti ya usajili naoh na wengine kuhamia CHADEMA. Inasemekana kuwa baadhi ya wasanii naoh kwenye naoh chama hicho kilichokufa sasa wako kwenye jitihada za kuanzisha chama kipya - Chama Cha Kijamii (CCK). Hawa wakulu wangesemaga tu wanataka kuanzisha Chama Cha Kisanii (CCK ) ningewapa shavu...
A wise man once told me, luck isn't some mystical naoh energy that dances around the universe randomly bestowing people with safisfaction and joy..you creat your own luck.
Posts : 2,019
Hii ni habari mbaya. Sina cha kusema.
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu naoh na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.! --- Wana Kigoma. ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
By MJM
23rd July 2010 21:31 #12
Likes Received 1299
Daily News THE Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa deregistered Chama Cha Jamii (CCJ) on Friday, after it failed to meet statutory requirements for full registration. Shortly after declaring that CCJ was no more and formally struck out in his register, Mr Tendwa blamed the media for giving the defunct party undue publicity even before its provisional registration. "You journalists are the ones who created this party and today I am officially deregistering it. It is officially buried today," Mr Tendwa naoh declared. The Registrar naoh later issued a provisional registration certificate to a newly founded Chama Cha Kijamii (CCK), which included a few leaders from the defunct CCJ. Mr Tendwa further revealed that earlier this week he had issued a certificate of provisional registration to Movement for Economic naoh Change (MEC) party. He defended the decision to register more parties, saying there was no limit to registration, citing South Africa with over 150 parties, Lesotho 26 despite its small population and over 270 in the Democratic Republic of Congo (DRC). After reviewing their documents and advising their leaders, we have established that the CCK party has a vision, he said. The Registrar further said that there are so far 18 political parties with full registration in the country and eligible to take part in the October 31, general election. Meanwhile, the Chairman of CCK, Mr Constantine Akitanda, told reporters that the newly founded party was independent and had nothing to do with CCJ. I know that some people will always associate the deregistered CCJ with our party, we are totally different, he said. CCJ was given provisional registration in March, this year and after two months it attempted to secure full registration. The party, however, failed in the membership verification exercise. Political analysts say the latest developments put to rest speculations that some CCM political bigwigs would join CCJ at a later stage. Mr Tendwa said if the new CCK wanted to prosper it should be patient, operate professionally and learn best practices from other parties. They can also seek advice from my office and we are ready to assist," he explained. Mr Tendwa said that the new party was not allowed to conduct any campaigns in the forthcoming elections until they were issued with full registration. He also reminded them that any policies advocating religious sentiments, tribalism or racial segregation and riots would not be tolerated. My Take: Kuna makosa ambayo CCJ ilifanya mwanzoni na makosa ambayo yamekigharimu chama lakini wakati huo huo ni mafunzo makubwa. Ujio wa CCK nao ni jaribio jingine naoh la demokrasia nakwa vile hakuna presha ya uchaguzi naoh kama ile ya CCJ, naamini wataweza kabisa kujipanga vizuri zaidi. As usual I'll render my support. Kwa wakati huu hata hivyo, nataka niweke mkazo kwanza kuelekea uchaguzi mkuu. CCK itajengwa taratibu na kwa ufundi zaidi.
Ujio wa CCK nao ni jaribio jingine la demokrasia nakwa vile hakuna
No comments:
Post a Comment